Sunday, May 31, 2009

ni soo kuishiwa pesa ukiwa shule

eeeh bwana mambo vp,ndg yangu ni soo la hatari ukimkuta denti hasa wa chuo kikuu amepigika kwa msemo wa kileo toka kwa joti (kufulia) ni noma maana hawa watoto wa kike huwa wanapata vishawishi vibaya vya pesa na vitu vizuri ambavyo wanakuwa wanatamani kuwa navyo na goto lipo empty ambapo mafataki (sugar dadies) huwa yanakuwa ndo yanafurahia kipindi hicho ili waweze kuwarubuni wadada hawa na kuwapa yale mambo yetu wanawane,tuwe makini dada zanguni na wale vijana ambao sio riziki tusije haribu maisha kwa tamaa ya vitu vidogo tuwe wavumilivu kwa kuwa kila jambo na wakati wake pia "utakaye okota nae kuni ndiye utaota nae moto"

1 comment:

  1. ni soo aisee inabidi wapewe elimu ya kutosha hao ndugu zetu

    ReplyDelete